1 Corinthians 6:11

11 aBaadhi yenu mlikuwa kama hao. Lakini mlioshwa, mlitakaswa, mlihesabiwa haki kwa jina la Bwana Isa Al-Masihi na katika Roho wa Mungu wetu.

Dhambi Za Zinaa

Copyright information for SwhKC